Burudani

Ommy Dimpoz kutumbuiza jijini Rotterdam, Uholanzi November 1

Mashabiki wa Ommy Dimpoz kwenye jiji la pili kwa ukubwa nchini Uholanzi, Rotterdam wanatarajia kumshudia live akitumbuiza hits zake kibao zikiwemo ‘Me and You’, ‘Tupogo’ na ‘Ndagushima’.

10724072_533660613444886_881436434_n

Pamoja na kuwa jiji la pili kwa ukubwa baada ya Amsterdam, Rotterdam ni miongoni mwa bandari kubwa zaidi duniani. Show hiyo itafanyika November 1.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents