Burudani

Ommy Dimpoz azungumzia matunda aliyovuna baada ya kuwekeza kwenye video ya Ndagushima

Ommy Dimpoz amesema amepata jibu la kwanini kuwekeza na kufanya video nzuri kuna faida kubwa. Akiongea na Bongo5, Ommy amesema hakutegemea kuwa kuna siku video yake itakuwa ikichezwa kama kawaida kwenye vituo vikubwa vya TV barani Afrika.

“Kupigwa video kwenye channel kubwa sio tatizo, video nyingi sasa hivi zinaenda lakini unawashawishi vipi wakupe pia rotation? Ni Uzuri wa video, pengine wanaangalia director amefanya nani,” amesema. Tazama video hiyo juu kumsikia Ommy akiongelea zaidi suala hili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents