Burudani

Octopizzo hakudanganya tu kumshirikisha August Alsina, upo ushahidi hata wimbo ‘This Could Be Us’ ameuiba!

Rapper wa Kenya Octopizzo anazidi kuumbuka kutokana na wimbo wake wa ‘This Could Be us’ ambao hapo awali alidai kuwa amemshirikisha staa wa Marekani, August Alsina.

Octopizzo-2

Baada ya uongozi wa August kukanusha msanii wao hakushirikishwa kwenye wimbo huo, lilibaki fumbo la ile sauti kwenye ya kiitikio ni ya nani kama si muimbaji huyo wa Marekani, sababu Octopizzo hajawahi kusema.

Hatimaye fumbo hilo limepata jibu baada ya kupatikana ushahidi wa wimbo ambao Octopizzo anadaiwa kuuiba kuanzia beat, Jina la wimbo hadi kiitikio.

Wimbo original ni wa msanii aitwaye JMG ambaye amewashirikisha Fedarro, Vellz, & Danny O, na unaitwa hivyo hivyo ‘This Could Be Us’. Uliwekwa Sound Cloud Nov 20, 2014 kwenye ukurasa wa JMG.

JMG ambaye jina lake halisi ni Justin Gutierrez ni msanii wa Marekani.

Hii ni profile ya JMG aliyoiweka Sound Cloud:

JMG (Justin Gutierrez) was born in Slidell on February 11, 1983. He started his music career freestyling with friends and Cousin Danny O. His relationships made him realize he had talent for writing music. It took a while until he met up with Partners N Crime and Black Menace( which are both Local Legends in the New Orleans area) that he started recording music in February 2013. He has featured on songs with Danny O, Jay Da Menace, Partners N Crime, Vellz, and Lord Lorenz. He has been working on a project called Taking Off. It will include music for everybody.

Hii ndio original version ya ‘This Could Be Us’ ya JMG

Hii ndio version ya Octopizzo ‘This Could Be Us’

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents