Burudani

Nyomi: Jose Chameleone azikonga nyoyo za mashabiki wa Dar (Picha)

Msanii wa Uganda, Jose Chameleone jana alizikonga nyoyo za wapenzi wa muziki jijini Dar es Salaam kwa show yake kali iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Maisha Club. Katika show hiyo, Chameleone alisindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Vanessa Mdee, Mirror, Ferouz na Professor. Watu kibao walijitokeza kushuhudia show hiyo na hizi ni picha zake.

IMG_2846
Vanessa Mdee akiwa na dancers wake wakitumbuiza

IMG_2860
Vanessa alipiga show nzuri sana

IMG_2965

IMG_2974

IMG_2976
Jose Chameleone akicheza pamoja na mashabiki aliowapandisha jukwaani

IMG_2981

IMG_2984

IMG_2985
Daudi wa Kota rafiki mkubwa wa Jose Chameleone alikuwa akiongea machache na mashabiki

IMG_2986
Barnaba alikuja kuangalia show ya Jose Chameleone

IMG_2995
TID Mnyama alipanda stejini na kumpa sapoti Jose Chameleone

IMG_2996

IMG_2998
TID alipanda ghafla stejini nakuanza kucheza na kusalimia mashabiki alipata shangwe za kutosha

IMG_3030
Jose Chameleone mizuka ilipanda akaamua kushuka stejini na kuwafuata mashabiki nakuanza kucheza nao

IMG_3031

IMG_3035
Jose Chameleone akiimba na shabiki na kucheza naye

IMG_3041

IMG_3042
Picha ya pamoja ya Jose Chameleone na mashabiki wake

IMG_2900
HK ndo alikuwa MC

IMG_2919
Ferouz alimpa sapoti Jose Chameleone

IMG_2921
Jose Chameleone na Ferouz wakiimba pamoja

IMG_2924
Professor Jay alivyopanda stejini alipata shangwe za kutosha, hapa akimpa hug Jose Chameleone

IMG_2925

IMG_2928

IMG_2930

IMG_2934
Jose Chameleone na Prof J

IMG_2936

IMG_2906
Jose Chameleone alivyopanda jukwaani

IMG_2848

IMG_2849

IMG_2850

IMG_2851

IMG_2852

IMG_2868

IMG_2871

IMG_2873

IMG_2878
Mirror naye alikuwepo kumoa kampani Chameleone

IMG_2879

IMG_2882
Watu walijitokeza kwa wingi sana

IMG_2883

IMG_2886

IMG_2889

IMG_2890

IMG_2893

IMG_2895

IMG_2896

IMG_2897

IMG_2910

IMG_2937

IMG_2949

IMG_2952

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents