Burudani

Nyimbo za Diamond na Ali Kiba zinaombwa zaidi kwenye radio za Kenya

kenya na bongo

Kwa mujibu wa Dj maarufu wa kituo cha radio cha Capital FM 98.4 cha jijini Nairobi, Kenya, Dj Joe Mfalme, nyimbo za Diamond na Alikiba ndizo zinazoombwa zaidi na wasikilizaji wake.

Leo wakati akiendesha kipindi chake cha asubuhi, Dj huyo aliyewahi kushinda tuzo katika fani hiyo na pia akifanya kazi kwenye kituo cha runinga cha Channel O alitweet: Iv been over-requested to play some Alikiba and Diamond.”

Katika hatua nyingine, wasikilizaji wa kipindi hicho wameonekana kukunwa zaidi na nyimbo za Tanzania na hawakuficha hisia zao kwa Dj huyo kipenzi cha wengi. Hizi ni baadhi ya tweets kuonesha ni jinsi gani muziki wa Bongo Flava unavyopendwa na wakenya.

PATRICK TOROITICH ‏@omiltoro
@984inthemorning @djjoemfalme boss enjoying this mix ….bongo man uko juu

Ian Luganje ‏@ILuganje
@DjJoeMfalme bongo oldschool love the jams you guy

Martin Gitau ‏@gitaumartin
@DjJoeMfalme rocking this morning with #BongoFlava

Mike Ngari ‏@ninjanthropus
Been a while since I heard a Dj do a Bongo set. Nice one @DjJoeMfalme

Dj Cronixx™ ‏@Its_Stevii

@djjoemfalme Mkono moja weka juu!!

St. RAFSUN ‏@Raphomattic

@djjoemfalme loving those Bongo mixxes Cc @984inthemorning

Sakka Three. ‏@Sakka_III

This @DjJoeMfalme ako na Ubaya. That Bongo set… Killer!!!!!! Kayuuuuumbet tu kwa ofisi.

Anthony Gakuru ‏@gaQcx
@DjJoeMfalme that bongo mix making traffic bearable!

Dann Mchoraji™ ‏@dannmchoraji
@DjJoeMfalme their music makes a lot of sense

Nelly ‏@Nellythe1

@DjJoeMfalme..oh wow..that bongo jus touched a dial

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents