Habari

Nyayo za miguu kubwa kuliko zote za mnyama dinosaur zaonekana

Nyayo za miguu kubwa zaidi duniani za mnyama dinosaur zimegundulika huko kaskazini magharibi mwa Australia, zikiwa na urefu wa karibu futi 5 na inchi 9 (mita 1.75).

Nyayo hizo ni za mnyama huyo aliyekuwa na shingo ndefu. Imepita rekodi iliyokuwepo awali ya nyayo za mita 1.15 zilizopatikana mwezi July nchini Bolivia.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents