Promotion

NMB yatoa msaada wa mashuka hospitali ya Mwananyamala

DSC_5895
Meneja wa NMB tawi la Msasani Bi. Mary Ngallawa Pamoja na Maofisa wa Hospitali ya Mwananyamala wakiyafurahia mashuka yaliyotolewa na benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa mashuka unaoikabili Hospitali hiyo

DSC_5886
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala Dkt. Kariamel Wandi(kushoto) akimshukuru Meneja wa NMB kanda ya Dar es salam Bw. Salie Mlay kwa kumkabidhi vifaa vya hosipitali vilivyotolewa na benki ya NMB kwa kwa Hospitali ya Mwananyamala .Vifaa hivi vyenye thamani ya shilingi milioni tano vilikabidhiwa hivi karibuni katika viwanja vya Hospitali hiyo. Akishuhudia makabidhiano haya ni Meneja wa NMB Tawi la Msasani Bi.Mary Ngallawa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents