Promotion

NMB yatoa madawati visiwani Zanzibar

zanzibar
Jaha Khamis Saidi, Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Kitope akimshukuru Kaimu Meneja wa tawi la NMB Zanzibar, Bakar Mohamed baada ya kupokea madawati kutoka benki ya NMB. Msaada huo wa madawati ulikabidhiwa kutoka NMB kwa shule ya msingi Kitope ili kupunguza uhaba wa madawati unaoikumba shule hiyo

DSC_0403
Wanafunzi wa shule ya msingi Kitope mjini Zanzibar wakiwa wamekaa kwenye madawati yaliyotolewa na Benki ya NMB kwa ajili ya kupunguza uhaba wa madawati unaoikabili shule ya msingi Kitope . Jumla ya madawati (50) hamsini yamekabidhiwa hivi karibuni katika shule hiyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents