Burudani

Nisher: Video ya ’13’ ni tofauti, nimetumia sound effects zaidi ya 87

Muongozaji wa video za muziki, Nisher amesema video ya wimbo wa Young Killer ’13’ aliyomshirikish Fid Q ni video tofauti kuliko zote alizowahi kufanya.

s

Nisher ambaye ni mshindi wa tuzo muongozaji wa video zinazopendwa katika Tuzo za Watu, ameandika kwenye Facebook:

Utakapo Kua-unaitazama video hii Hakikisha unavitu vifuatavyo…Uwe na Speakers nzuri Zinazoweza kutafsiri Bass vizuri kama vile Surround Sound… Make sure una TV nzuri au kama ni Computer Make Sure Ninzima haina Matatizo… Kwenye Hii Video Nimecheza Na Macho na Maskio yako sana So, Get Ready Kuchanganyikiwa… Kuna Sound Effects Zaidi ya 87 humu ndani Na Visual Effects Ili Kukupa Excitement ya kutazama… Nikitu Tofauti sana Na Video Zangu Zote!!!! Hope you will Enjoy… #13 #NOVEMBER13 #NisherBybee

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents