Burudani

Nimeghairi kugombea ubunge 2020, nadhani sanaa bado inanihitaji Sana – Linex

Miongoni mwa wasanii wa muziki na filamu walioonesha nia ya kutaka kuingia kwenye siasa na pengine kugombea ubunge ni pamoja na msanii wa kampuni ya Leka Dutigite, Linex Sunday Mjeda.

Zitto Kabwe na Linex

Hivi karibuni Linex alitoa kauli ya kutaka kugombea ubunge kupitia chama kipya cha ACT ifikapo mwaka 2020 (Ingia Hapa).

Lakini leo (Agosti 19) Linex ametoa uamuzi wake mpya juu ya kauli hiyo ya kutaka kugombea, kupitia Facebook ameandika:

“Kwa kupitia ule Msemo Unaosema Mungu hamtupi mtu mwenye dhamira ya kweli naona swala la Mimi kusema ntagombea ubunge 2020 Mungu akipenda kila mtu amekua akilitafakali kwa mtazamo wake nachotaka kuwambia watu ni Tunapaswa kuishi kwa ndoto na matumaini ya kufanya jambo hata liwe Lina ugumu kiasi gani nadhani sanaa bado inanihitaji Sana so siasa badae Sana acha nipambanie sanaa yangu kwanza na watu wangu Nimegairi#Music#my life#My everything ‪#‎wemakwaubaya‬”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents