Michezo

Nilipokea ombi la kujiunga na klabu ya ligi ya Uingereza – Zlatan Ibrahimovic

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya PSG nchini Ufaransa Zlatan Ibrahimovic amesema kuwa alipokea ombi la kujiunga na kilabu moja ya ligi ya Uingereza lakini akakataa kuthibitisha iwapo klabu hiyo ni Manchester United au la.

article-3610649-34A2D0F200000578-158_964x473

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 34 ambaye kwasasa yuko huru baada ya kuondoka PSG na amehusishwa na uhamisho wa United.

Alipoulizwa iwapo ombi hilo linatoka Old Trafford ,alisema “Wacha tuone kitakachofanyika”

Kocha wa zamani wa Chelsea Jose Mourinho anatarajiwa kutangazwa kama kocha mpya wa Manchester United na alisha wahi kufanya kazi na Ibrahimovic alipkuwa katika kilabu ya Inter Milan

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents