Burudani

Nikki wa pili afanya collabo ya wasanii sita, Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako

Nikki Wa Pili kutoka Weusi ameingia studio kufanya wimbo mpya ambao amewashirikisha wasanii sita.
Nikki

Wasanii walioshirikishwa kwenye wimbo huo ambao unafaywa kwenye studio ya The Industry ya producer Nahreel, ni Vanessa Mdee , Joh Makini, Jux, Nahreel, Aika na G-Nako.

Kupitia Instagram Aika Marealle wa kundi la Navy Kenzo amerepost picha wakiwa studio na kuandika,

“UNATARAJIA KITU GANI KWENYE HII COLLABORATION YA @nikkwapili FEAT..#Johmakini@gnakowarawara @nahreel & @aikamarealle @Juma_jux &@vanessamdee ??? #TheIndustrySelfies “

Nikki Wa Pili naye aliandika,

“Hatutengenezi mziki sasa tunatengeneza familia ya mziki mzuri….weusi..v money, jux, aika, nahreel……kwenye track moja kwa hisani ya the industry……utaipata next…..bt do u wana be a lucky fun to have it exclusively??????”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents