Michezo

Nicolas Anelka ateuliwa kuwa kocha mchezaji wa Mumbai City FC

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, na vilabu vya Arsenal, Liverpool, Manchester City, Bolton, Chelsea na West Brom, Nicolas Anelka ametambuliswa kama kocha mpya wa Mumbai City FC ya nchini India ambayo pia anaichezea.

anelka

Anelka mwenye umri wa miaka 36, anaingia katika utawala wa timu hiyo inayoshiriki ligi kuu ya India (Indian Super League).

Mchezaji huyo atakuwa na majukumu mawili ya kuwa kama mchezaji na kocha, baada ya kuichezea timu hiyo katika msimu mmoja.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents