Burudani

Nicki Minaj kuachia wimbo mpya ‘Only’ aliowashirikisha Drake, Chris Brown na Lil Wayne (Oct. 28)

Ikiwa ni mwezi mmoja umebaki kabla hajaachia album yake ya tatu ‘The Pinkprint’, na miezi miwili toka aachie single ya ’Anaconda’, Nicki Minaj kesho Jumanne (Oct. 28) anatarajia kuachia single mpya iitwayo ‘Only’.

Only

Katika single hiyo Minaj amewakutanisha Drake na Chris Brown pamoja na Lil Wayne.

Minaj ameshare cover ya kuchorwa ya single hiyo ambayo inamuonesha Drizzy akiwa amevaa kama papa bila uwepo wa Breezy.

Album ya Nicki Minaj ‘The Pinkprint’ inatarajiwa kutoka November 24 chini ya Young Money, Cash Money na Republic Records.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents