Habari
Nicki Minaj amuita Blue Ivy ‘Mwanakondoo wa thamani’
Nicki Minaj amemuita Blue Ivy ‘mwanakondoo wa thamani’ baada ya kukutana naye backstage kwenye show ya Beyonce na Jay Z.
Hitmaker huyo wa ‘Anaconda’ 31, alipandaa jukwaani kwa surprise
katika show ya ziara ya wanandoa hao, ‘On The Run’ jijini Paris, Ufaransa weekend iliyopita na kukutana na mtoto wao huyo mwenye miaka miwili.
“She is the sweetest, cutest, most precious little lamb,” Minaj aliuambia mtandao femalefirst.
“It was great. I’m ecstatic. I don’t know what to say. I’m just very blessed and very thankful to be, to have such a great time with the family in general. I just think the whole atmosphere was just like
one of the most inspiring moments of my career so far,” aliongeza.