Burudani

Nick Cannon na Mariah Carey kula Christmas pamoja licha ya kuachana

Nick Cannon na mke wake wa zamani Mariah Carey watakuwa pamoja kwenye sikukuu ya Christmas.

showbiz_mariah_carey_nick_cannon_2

Wawiili hao waliofungua ndoa 2008, walitangaza kutengena mapema mwaka huu, lakini Nick amethibitisha kuwa hilo haliwezi kumzuia kutumia muda na Mariah kwenye sikukuu hiyo pamoja na watoto wao mapacha Monroe na Moroccan.

Mapema wiki hii pia, Nick alikanusha kuwahi kuwa na uhusiano Amber Rose.

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents