Habari

Nick Cannon bado yupo karibu na Mariah Carey

Nick Cannon ameeleza hali ilivyo sasa kati yake na aliyekuwa mke wake, Mariah Carey na kuzungumzia jinsi walivyo karibu licha ya kuachana.

nick cannon n mariah

Kwa mujibu wa Cannon, bado wana mipango ya kukutana tena kwaajili ya familia katika kipindi cha likizo. Akiongea na mtangazaji wa TV Meredith Viera ijumaa hii, Nick alisema:

“Naingalia zaidi familia yangu na kile kilicho sawa na kuondoka kwenye muda huu na kufanya kilicho sahihi kwa watoto. Wana furaha, wanampenda mama, wanampenda baba. Siku zote tumekuwa ni watu wa kusafiri, kuja na kuondoka, hivyo maisha yao hayajabadilika hata kidogo. Tunakuwa pamoja kwenye likizo, tunafanya kila kitu ambacho tunatakuwa kufanya pamoja.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents