Events

Ni Wakati Wako Tour full nyomi Jangwani


Mwezi Desemba mwaka huu unaonekana kuwa mwezi wa shangwe za kila namna ambapo kila weekend matukio tofauti yanatokea na wikiendi iliyoisha jana ilikuwa na mambo ya kiburudani hasa hasa sanaa ya muziki wa kizazi kipya ambapo moja ya matukio hayo ni Wakati wako Tour.
Shoo hiyo ya bure kabisa ilihusisha wasanii kama Tunda Man, Dogo janja, Shilole, Dully Sykes, Snura, Roma, Bi Cheka, Chidi Beenz na wengineo wengi, ilianza majira ya saa nane mchana na kurindima katika viwanja vya Jangwani kwa masaa manne. Angalia baadhi ya picha amabzo tunakuletea kwa hisani ya waandaaji Entertainment Masters.

Wananchi waki shoo luv

Ilikuwa ni nomaaa nyomi la kuf mtu.
Hivi ndivyo mwonekano wa steji ulivyokuwa jana.
Hapa ilikuwa makamuzi ya kufa mtu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents