Burudani
Ni mwendo wa suti tu, Nikki Mbishi na One wavaa kiofisi video ya ‘Kupanda na Kushuka’
Ni mwendo wa vipara suti tu kwenye video ya wimbo wa Nikki Mbishi aliowashirikisha Lady Jaydee, One the Incredible na Songa. Mastaa hao wameshoot video ya wimbo huo mpya itakayotoka hivi karibuni. Hizi ni picha walizoshare.
One, Lady Jaydee na Nikki Mbishi wakiwa location