Technology

Ni mastaa wawili tu wa Tanzania walio na ‘verified accounts’ za Facebook, wafahamu

Kuwa na likes nyingi Facebook ni kitu kimoja na kuwa na ‘verified account’ ni kitu kingine. Wakati ambapo mastaa wengi wa Marekani wakiwa na akaunti za aina hiyo, bado mastaa wengi wakubwa wa Afrika wana akaunti ambazo hazijawa verified. Lakini kwa Tanzania kuna mastaa wawili hadi sasa walio na akaunti zilizokuwa verified.

Mastaa hao ni Miss Universe Tanzania wa zamani, Flaviana Matata mwenye likes 22,961 likes hadi sasa.
10151281_444956918968680_3923620051177254746_n
Flaviana Matata

Wa pili ni mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya BBC, Salim Kikeke mwenye likes 147,683 hadi sasa

1233993_325490274255108_1707049384_n
Salim Kikeke

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents