Burudani

Ni marufuku kwa wanafunzi kupigana busu kwenye chuo kikuu cha Zimbabwe

Wanafunzi wa chuo kikuu cha Zimbabwe hawaruhisiwi kupigana mabusu. Hiyo ni moja ya sheria kali kwenye chuo hicho.

_78453969_bc442973-549c-4059-a385-cbfa4758bdf3

Uongozi wa chuo hicho umedai kuwa wanafunzi watakaokutwa kwenye pozi la kimahaba watachukuliwa hatua za kinidhamu.

_78453973_20141022_135938-1

“Katika umri huu kusema siruhusiwi kumbusu au kumkumbatia mtu.. haiingii akilini,” mwakilishi wa wanafunzi wa chuo hicho, Tsitsi Mazikana aliiambia BBC.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents