Burudani

Ni kweli Kimbunga Mchawi ana nyimbo zaidi ya 1000?

Rapper Kimbunga Mchawi amesema kuwa ana nyimbo zaidi ya 1000 kwenye store yake.

Kimbunga Mchawi

Kimbunga ambaye kwa sasa nyimbo yake ya ‘Shika Adabu Yako Remix’ inafanya vizuri kwenye media, ameiambia Bongo Fleva ya Clouds FM kuwa, mwaka huu watu wasishangae wakiona nyimbo mpya kila siku kwa sababu ana nyimbo zaidi ya elfu moja kwenye store yake.

“Nina nyimbo nyingi zaidi ya elfu moja kwenye store yangu, huu mwaka nitaachia ngoma kibao na pia msishangae ukiona kila baada ya siku mbili nimeachia wimbo mpya. Hata kama nisipoachia wimbo kwenye redio tu pia ninaweza nikaachia wimbo kwa ajili ya mitandaoni tu,” alisema.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents