Burudani

Ni harusi ama video? Picha za ndoa ya kifahari ya Akothee zawaacha mashabiki njia panda!

Unakumbuka kipindi Jaguar alivyodaiwa kufunga ndoa kimya kimya baada ya picha zake kusambaa mtandaoni akibadilishana viapo na msichana mrembo lakini ikaja kubainika kuwa ilikuwa ni video ya wimbo wake One Centimeter?

20150324042853
Akothee akiwa kwenye kile kinachoonekana kama harusi na hivyo kuzua maswali mengi kwa mashabiki wake

Unakumbuka jinsi watu walivyodhani kuwa Ommy Dimpoz amemchukua ex wa swahiba yake, Diamond, Wema Sepetu baada ya kusambaa picha za utata za wawili hao lakini kumbe ikaja kubainika kuwa ni Wema ni Wanjera kwenye video ya Ommy ya wimbo wake mpya?

20150324042830

Na sasa ni zamu ya Akothee, msanii wa Kenya anayefahamika kwa utajiri wake! Muimbaji huyo amewaacha watu njia panda baada ya kushare picha akionekana kufunga ndoa ya kifahari mbele ya umati mkubwa wa watu wenye mchanganyiko wa rangi mbalimbali.

20150324042733

Mashabiki wake kwenye Facebook wanaendelea kumpongeza kwa kuolewa.

“Real friends for life thanks once again for attending my wedding,” ameandika Akothee. Jionee picha za harusi hiyo pamoja na zingine anazoonekana muimbaji huyo na mume wake mpya!

20150324042658

20150324042708

20150324042922

20150324042925

20150324043009

20150324043100

20150324043108

20150324043112

1613988_871588259575462_6405412180411643740_n

1796596_871727486228206_9081198810256967315_n

11026210_871588299575458_9055772934118693786_n

11061248_871905422877079_717531528419457598_n

11070008_872026582864963_7747540399409998516_n

11073980_871588276242127_7337692320221000606_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents