79 views 0 comments

‘Ney wa Mitego’ ya Nikki Mbishi yatoka, isikilize hapa

by on May 8, 2013 - 12:59 pm
 
Pin It

Ile ngoma controversial iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu, Ney wa Mitego ya Nikki Mbishi leo imetoka. Katika ngoma hiyo, Nikki anamsifia msichana mrembo aitwaye Neema aka Ney wa Mitego.

“Kanga moko ndembe ndembe laki si pesa, Kila akikatiza mamende wanabaki na pressure, Jamani Ney ama kweli maanani hakosei, masista duu mitaani hawaongei,” anasikika Nikki kwenye ngoma hiyo.

“Neema anakata mkwanja, pay mdebwedo Mbishi sina ujanja kwa huyu Ney wa Mitego, nasikia anatoa ndogo zaidi ya gay mwenye pepo.”

Pin It

Add a comment

comments