Burudani
New Video:Victoria Kimani f/ Ommy Dimpoz & Diamond – Prokoto
Baada ya kusubiriwa kwa hamu video ya Victoria Kimani ya wimbo wake ‘Prokoto’ aliowashirikisha Ommy Dimpoz na Diamond Platnumz hatimaye imetoka ikiwa ndani ya akaunti yake ya Vevo.