Burudani
New Video: Vice – My Number One
Achana na My Number One ya Diamond, msanii chipukizi wa muziki, Vice akiwa chini ya Mirambo Classics ameachia video yake mpya ya wimbo ‘My Number One’. Video ya wimbo huo imeandaliwa na Vibe Nation.