Burudani
New Video: Shose f/ Abbah – Fallin in Love
Hii ni video ya msanii wa kwanza wa label mpya ya muziki iliyozinduliwa Jumamosi iliyopita, Instincts Records, Shose. Kwenye wimbo huu amemshirikisha Abbah aliyeutayarisha pia wimbo huu huku video ikiongozwa na Hanscana.