Burudani

New Video: Rick Ross aachia video 2 mpya ‘If They Knew’ & ‘Hood Billionaire’

Rick Ross ambaye wiki hii ametoa album yake mpya na ya saba ‘Hood Billionaire’, ameachia video mbili mpya za nyimbo kutoka kwenye album hiyo. Video hizo ni ‘If They Knew’ pamoja na ‘Hood Billionaire’.

Ingia hapa kutazama video ya ‘Hood Billionaire’

Related Articles

Leave a Reply

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents