Burudani

New Video: Nathalie Makoma – One More Try

Aliyekuwa muimbaji mkuu wa kundi la Makoma, Nathalie Makoma amekuja na wimbo mpya uitwao ‘One More Try’. Muimbaji huyo kwa sasa anafanya muziki kama solo artist. Aliwahi kushiriki kwenye shindano la Idols nchini Uholanzi na kuingia fainali. Baada ya hapo alisaini mkataba na kampuni ya Sony BMG na kufanya ziara nchini Uholanzi na ambapo alitumbuiza show 150 katika mwaka mmoja.

https://www.youtube.com/watch?v=Iewpk6ucAWM

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents