Video mpya kutoka kwa muimbaji wa Arusha, Nakaaya ya wimbo aliomuimbia mwanae wa kiume ‘Blessing’ imetoka.
Katika video hii utamuona pia mwanae huyo anayemuelezea kama baraka kuu kutoka kwa Mungu. Video imetayarishwa na CYNE Studios na wimbo ulitayarishwa na DX wa Noiz Maker.