Habari

New Video: Jux – Sisikii

Jux ameachia video ya wimbo wake ‘Sisikii’ iliyoongozwa na Zeddy Benson. Kwenye video hii Vanessa Mdee ndiye msichana aliyeigiza kama mpenzi wake na Jux (kitu ambacho katika maisha halisi ni kweli).

https://www.youtube.com/watch?v=0IYsRm84KZU

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents