Burudani

New Video: Hussein Machozi – Ulikuwa Wapi

‘Ulikuwa Wapi?’ hilo ni swali, lakini pia ndio jina la wimbo ambao msanii Hussein Machozi ameachia rasmi video yake mpya.

Video ya wimbo huo wa Machozi ambao ulivuja mwaka jana mwishoni ukiwa na jina la ‘Mdogo Mdogo’ kabla hajauruhusu uendelee kupigwa, imefanywa na kampuni ya Kwetu Studios ya jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents