Videos

New Video: Dela – Paza Sauti

By  | 

Msanii wa Kenya, Dela ambaye amewahi kufanya vizuri na cover ya wimbo wa ‘Helo’ wa Adele, ameachia video yake mpya ya wimbo wa ‘Paza Sauti’. Tazama video hiyo hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments