Burudani
New Video: Bonge la Nyau – Tusiachane
Hii ni video ya ngoma mpya ya Bonge la Nyau, Tusiachane. Imeongozwa na Joowzey. Kwenye wimbo huu rapper huyo amebadilika kiasi kwa kuonesha pia uwezo wake wa kuimba. Enjoy.