Burudani
New Video: Beyonce – Formation
Beyonce amereje na video ya kushtukiza tena ya wimbo wake Formation. Wimbo umetayarishwa na Mike WiLL Made-It na ameshirikiana kuandika na msanii wa kundi la Rae Sremmurd, Swae Lee. Itazame.