Burudani

New Video: Barakah The Prince – Acha Niende

Muimbaji mwenye sauti ya pekee kutoka ndani ya label ROCKSTAR4000, Barakah The Prince baada ya kufanya vizuri na wimbo Nisamehe akiwa amemshirikisha Alikiba, ameachia video ya wimbo wake mpya Acha Niende. Audio ya wimbo huu imeandaliwa na producer Maneck kutoka AM Records na video imeongozwa na kampuni ya Head Master Production.

https://youtu.be/IKjVsyA77II

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents