Burudani
New Video: Asia – Leo
Asia aliyewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Mtoto wa Mjini’ Asia Mjuni ameachia video ya wimbo wake ‘Leo’. Wimbo umetayarishwa na C9 Kanjenje na video kuongozwa na Kwetu Studio.