Burudani
New Video: Akothee – Bougeler
Video mpya ya msanii wa Kenya Akothee ya wimbo wake Bougeler imetoka. Katika video Akothee ambaye jina lake halisi ni Esther Akoth anaonesha uwezo wake mahiri wa kucheza muziki huo aina ya soukous. Enjoy.