Burudani
New Music: Young Killer f/ Fid Q & Belle 9 – 13
Young Killer ameachia wimbo wake uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu ’13’ aliowashirikisha Fid Q na Belle 9. Maproducer wanne wameshiriki kuutengeneza wimbo huo akiwemo P-Funk Majani. Wengine ni Palla Midundo, Amiga Tyga na Lollipop.