Burudani
New Music: Young Killer f/ Banana Zorro – Umebadilika
Young Killer Msodoki ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Banana Zorro ‘Umebadilika’. Kwenye ngoma hii Killer anaongelea story ya msichana aliyekuwa akimchukulia poa mwanzo na kisha kubadilika na kuanza kumpenda tena. Wimbo umetayarishwa na Dee Classic na Man Walter.