Burudani
New Music: Yemi Alade f/ Diamond Platnumz – Kissing (remix)
Yemi Alade na Diamond hawakuishia kufanya wimbo kwenye kipindi cha Coke Studio Africa peke yake. Diamond ameshirikishwa kwenye album ya msanii huyo wa Nigeria, ‘King Of Queens’. Isikilize remix ya wimbo wake Kissing aliomshirikisha Diamond Platnumz.