Burudani
New Music: Wizkid – Amin
Mwimbaji wa Nigeria, Wizkid ametoa wimbo mwingine mpya uitwao ‘Amin’. Staa huyo na CEO wa Starboy hivi karibuni aliweka wazi ratiba yake inayoonesha kuwa atakuja Tanzania kufanya show mwaka huu 2015.