Msimu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya hupambwa na nyimbo zake ambazo nyingi zimeimbwa miaka mingi iliyopita na wasanii wa nje. Walter Chilambo amejipinda na kuachia wimbo wake maalum kwa msimu huu alioupa jina Merry Christmas (Amezaliwa).
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda bodaApril 18, 2017 - 10:18 am