Tragedy

New Music Video: Nicki Minaj – Up In Flames

By  | 

Nicki Minaj ameachia video mpya, Up In Flames ikiwa ni wiki moja tu baada ya kuachia video ya ngoma yake nyingine, “High School”.

Ni wimbo ulio kwenye albam yake Pink Friday: Roman Reloaded the Re-Up. Katika video hii iliyoongozwa na Grizz Lee, Nicki anaonekana katika mchakato wake wa kiubunifu huku akiandika mistari studio, kukaa kwenye piano, akionekana kwenye chumba chenye mishumaa na pia scenes za mpenzi wake Sarafee.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments