Kabla hata hujaanza kuitazama video ukishaona jina la wimbo lenyewe ni ‘Booty’, lazima utaanza kujenga taswira uliyoiona kwenye video ya Nicki Minaj ‘Anaconda’. Katika video hii mpya Jennifer Lopez na Iggy Azalea wamezitumia vizuri ‘assets’ zao katika kukamilisha maana nzima ya wimbo huu. Itazame
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Huu ndio uamuzi wa Tip Top kuhusu Dogo Janja baada ya kulalamika kuwa wanambaniaFebruary 22, 2016 - 9:00 am
-
Nay Wa Mitego kuachia video ya ‘Shika Adabu Yako’ wiki hii licha ya BASATA kuufungia wimbo huoFebruary 22, 2016 - 7:00 am