Habari

New Music Video: Izzo Bizness – Walalahoi

Izzo Bizness ameachia rasmi video ya wimbo wake ‘Walalahoi’ iliyoongozwa na director Nick Dizzo. Izzo alisema video hiyo imemgharimu shilingi M 1.4 tu hadi kukamilika kwake, ikiwa ni pamoja na pesa aliyomlipa director. Itazame hapa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents