Burudani

New Music Video: Hussein Machozi aachia video mpya ya ‘Harusi’ baada ya mkasa wa kudaiwa kufumaniwa Kenya

Hit maker wa ‘Kwaajili yako’ Hussein Rashid aka Hussein Machozi ameachia video na wimbo mpya ikiwa ni zaidi ya wiki moja imepita toka atawale vichwa vya habari katika vyombo vingi vya habari vya Kenya na baadae kuhamia Tanzania.

Habari hizo zilizomuhusu nyota huyo ambaye kwa sasa anafanya muziki wake nchini Kenya zilidai kuwa alifumaniwa na mke wa mwanasiasa maarufu wa Mombasa. Isome Hapa.

Video ya ‘Harusi’ imeongozwa na Hamza Omar huku audio ikiwa imetayarishwa na Askiss.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents