Burudani
New Music Video: B.O.B & Micharazo -True Story
Mr Blue na Hamidu wakiwa kama B.O.B na Micharazo wamerudi tena na video yao mpya ya ‘True Story’. Video imeongozwa na Pablo huku audio imetengenezwa na Mona Gangster chini ya studio ya Classic Sounds. Itazame
http://youtu.be/4ZksP8fxO2o