BurudaniVideos

New Music: Vanessa Mdee – Cash Madame

Vanessa Mdee aka Vee Money aliweka wazi kabisa kwamba mwaka huu ataumaliza kwa kishindo!

vanessa

Baada ya kushirikishwa kwenye ngoma kali zinazobamba Afrika nzima, sasa kasogeza nyingine inayokwenda kwa jina la “Cash Madame” inayopatikana ndani ya Mkito.

Ngoma inahusu madada wanaojielewa, wanaojitafutia mshiko bila kumtegemea sponsor. Cash Madame imetengenezwa na E Kelly Beatz.

Ipakue hapo chini:

Unaweza kutazama video yake hapo chini pia.

https://www.youtube.com/watch?v=5dA5yfX6_30

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents