BurudaniMuziki

New Music: Sugu & Professor Jay – Makamanda

Mdau wa Mziki wa Kizazi kipya ndani ya Bongo na Kwengineko. Hii ni kazi mpya toka kwa wakongwe hawa wawili Sugu na Professor Jay katika kuihamasisha jamii ya ki TANZANIA kuhusu hali ya sasa na Uchaguzi mkuu ujao mwaka 2015. Wimbo unaitwa “Makamanda” umefanywa Mwanalizombe Records chini ya Producer Villy. Enjoy

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents